Timu ya Young Africans, Yanga yatwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2022-2023!
Washindi wa ligi tuu ya NBC Tanzania bara, timu ya Yanga walikabidiwa kombe la ushindi katika hafla iliyofanyika kwenye uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Hafla hii iliyofanyika Juni 9, 2023 iliratibiwa na kusimamiwa na timu ya The Market Changer (TMC)