Timu ya Yanga yatwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2023-2024!

Washindi wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara, timu ya Yanga walikabidiwa kombe la ushindi katika hafla iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mokapa, Dar es Salaam.

Hafla hii iliyofanyika Mei 25, 2024 iliratibiwa na kusimamiwa na timu ya The Market Changer (TMC), ambapo tulifanyia kazi mpangilio mzima wa shughuli pamoja ubunifu na uwekaji wa chapa (branding).