Jiwe la msingi lawekwa kituo cha kiufundi cha michezo cha TFF
Kituo cha kiufundi cha TFF kimewekewa jiwe la msingi katika hafla iliyohudhuriwa na rais wa FIFA, Gianni Infantino ilifanyika Octoba 20, 2023 Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Wageni wengine walioshiriki ni pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu FIFA, Arsene Wenger na wadau mbalimbali wa soka nchini Tanzania.